Back to home

Watoto wenye matatizo ya midomo na kaakaa ngumu wasaidiwa katika eneo la Kimilili

video
C
Citizen TV (Youtube)
May 13, 2026
2h ago
Mamia ya watoto wanaozaliwa na tatizo la maumbile ya midomo na kaakaa gumu katika eneo la magharibi wapata afueni baada ya kituo cha upasuaji bila malipo kufunguliwa katika hospitali ya Kimisheni ya Dreamland Kimilili kwa ushirikiano na shirika la Smile Train.
Advertisement