Back to home
Serikali yakagua iwapo wanufaishwa wote wa mpango wa ulinzi katika kaunti ya Kajiado wako hai
video
C
Citizen TV (Youtube)May 14, 2026
1h ago
Serikali imeanza zoezi la uthibitisho wa kuwa wanufaishwa wote kwenye mpango wa ulinzi wa jamii wako uhai . Hatua hii imechukuliwa baada ya kubainika kuwa fedha nyingi zimepotea kupitia malipo kwa watu waliofariki.
Advertisement
Advertisement





