Back to home

Wanafunzi wasioona wang'ara michezo ya kitaifa Thika

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 5, 2026
1h ago
Wanafunzi wenye ulemavu wa kuona wanasherehekea hatua kubwa baada ya kushiriki katika Michezo ya Kitaifa ya Shule za Upili ya Muhula wa Pili inayoendelea mjini Thika.
Advertisement