Back to home

Kindiki awaalika Munya, Muturi na Kivuti serikalini

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 6, 2026
3h ago
Naibu Rais Kithure Kindiki sasa anamtaka kinara wa chama cha PNU Peter Munya, mwenzake wa DP Justin Muturi na kinara wa chama cha BUS Lenny Kivuti kujiunga na serikali kufuatia tofauti zinazoshuhudiwa kati yao na kinara wa DCP, Rigathi Gachagua.
Advertisement