Back to home
Wakazi South Sakwa wataka mchakato wa usajili wa vitambulisho urekebishwe
video
C
Citizen TV (Youtube)August 24, 2026
1h ago
Wakazi wa South Sakwa kaunti ya Migori wanataka kanuni za usajili wa kupata vitambulisho zirekebishwe, wakisema mchakato wa kupata stakabadhi hizo unacheleweshwa mno.
Advertisement
Advertisement
