Back to home

Wakazi Tuthu wangoja kukamilika kwa barabara ya lami ya Tuthu-Kanyenyaini

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 24, 2026
1h ago
Kwa muda wa miaka mingi, wakazi wa eneo la Tuthu kaunti ya Murang'a wamekuwa wakisubiri kukamilika Kwa ujenzi wa barabara ya Lami ya Tuthu kwenda Kanyenyaini, huku hali mbaya ya barabara hiyo ikiathiri sana usafiri na biashara zao.
Advertisement