Back to home

Baadhi ya wabunge wa kenya kwanza wampigia debe raisi William Ruto pande za Kitui

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 26, 2026
1h ago
Campaign za kumpigia debe raisi William Ruto zaedelea kupamba moto pande za Kitui ambapo ni gome la upizani kwa mda mrefu, viongozi ambao wako upande wa selikali wakiongozwa na Rachel kaki wazunguka kila mahali wakiwalai wenyenji kumuunga mkono kwa mara ya pili.
Advertisement