Back to home

Wapokot Nagum walalamikia kutengwa katika miradi ya maendeleo

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 27, 2026
2h ago
Jamii ya Pokot kutoka eneo la Nagum Laikipia kaskazini wanalalamikia kutengwa na serikali kwa baadhi ya miradi muhimu kama vile elimu wakisema ni jambo linalowafanya kubaki nyuma zaidi.
Advertisement