Back to home

Mwanaume afariki baada ya kubugia pombe Turi, Molo

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 28, 2026
1h ago
Huzuni imetanda katika eneo la Turi, Molo, Kaunti ya Nakuru, kufuatia kifo cha ghafla cha kijana ambaye dakika zake za mwisho zilinaswa kwenye video akibugia pombe. Kanda hiyo, ambayo sasa imesambaa mitandaoni, imezua minong'ono kuhusu pombe yenye sumu nchini.
Advertisement