Back to home

Vincent Ateya na Inspekta Mwala watuzwa kwa mchango katika sanaa

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 28, 2026
1h ago
Mtangazaji wa Radio Citizen Vincent Ateya na mwigizaji Davis Mwabili, maarufu kama Inspekta Mwala, wametuzwa kwa mchango wao katika kukuza sanaa,usimulizi na maendeleo ya jamii.
Advertisement