Back to home

Wakulima wa Nandi wapata mafunzo ya teknolojia mpya za kilimo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 1, 2026
1h ago
Wakulima katika Kaunti ya Nandi wamepata mafunzo kuhusu teknolojia mpya za kilimo, katika juhudi za kuwawezesha kutumia mbinu bora zitakazosaidia kuongeza uzalishaji na kuimarisha shughuli zao za kilimo.
Advertisement