Back to home

Mradi wa LAPSSET Garissa: Wakazi wa Balambala wadai fidia ya ardhi yao

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 2, 2026
1h ago
Baada ya sehemu ya mradi wa barabara kuu ya LAPSSET kukumbwa na changamoto za fidia na usalama katika kaunti ya Garissa, ujenzi huo umerejea tena na kufufua matumaini ya kukamilika na kufungua eneo hilo.
Advertisement