Back to home

Wakazi zaidi ya 80,000 kaunti ya Kilifi wako kwenye hatari ya kuathirika na El Nino

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 2, 2026
1h ago
Watu zaidi ya 80,000 katika kaunti ya kilifi wako katika hatari ya kuathirika na el Nino huku mvua kubwa ikianza kunyesha katika ukanda wa pwani.
Advertisement