Back to home

Makundi ya jamii wa Kaya walalamikia kutoshirikishwa kwenye mchakato wa ufadhili wa mazingira Kwale

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 3, 2026
1h ago
Makundi ya jamii na wazee wa Kaya walalamikia kutoshirikishwa kwenye mchakato wa ufadhili wa mazingira na kusema kuna mipango ya kuunganisha uhifadhi wa msitu kati ya Kenya na Tanzania
Advertisement