Back to home

Shule ya walemavu wa kusikia Kabuchai yazindua madarasa matatu mapya

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2026
2h ago
Watoto wenye ulemavu wa kusikia katika Kaunti ya Bungoma sasa wana matumaini ya kupata elimu karibu na kwao, baada ya Shule ya Msingi ya Watoto wasio na uwezo wa kusikia ya Kabuchai kukarabatiwa.
Advertisement