Back to home

Ruto: Nimetimiza ahadi nilizowaahidi Wakenya

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2026
2h ago
Rais William Ruto amesema ametimiza ahadi alizowaahidi Wakenya. Akiwa katika ziara ya Kericho, Ruto amewataka wakazi wa Rift Valley kujisajili kuwa wapiga kura, akilenga kupata kura milioni 4 katika ngome yake.
Advertisement