Back to home
Tusker FC yafuzu raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika
video
C
Citizen TV (Youtube)September 12, 2026
3w ago
Tusker FC imefuzu raundi ya pili ya mchujo wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuilaza Al Ahly Madani ya Sudan bao moja kwa bila katika Uwanja wa Nyayo.


The Online Kenyan Android App
Take Kenya's news with you
Breaking stories, daily briefs, and the topics you follow - on your phone, free.
Get the Kenyan News appFree Android app on Google Play









