Back to home
Vijana zaidi ya 2,500 wahitimu mafunzo ya NYOTA Kilifi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 14, 2026
2h ago
vijana zaidi ya 2, 500 kutoka kainti ya kilifi wamefuzu katika mradi wa NYOTA baada ya kupata mafunzo mablimbali yakiwemo maswala ya biashara, uongozi na jinsi ya kujihusisha na biashara ndogo ndogo.
Advertisement
Advertisement




