Back to home

Wahudumu wa bodaboda Meru wafunzwa huduma ya kwanza

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 14, 2026
2h ago
Wakaazi haswa wanabodaboda kutoka eneo la Subuiga, Eneo bunge la Buuri Kaunti ya Meru wamepokea mafunzo ya huduma ya kwanza, hili kujikimu kukabiliana na majanga, ikizingatiwa eneo hilo limeorodheshwa kama Sehemu ya hatari ya barabara na hupata ajali nyingi.
Advertisement