Back to home

Vituo vinne vya afya kufunguliwa magadi, Kajiado

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2026
1h ago
Huduma za matibabu katika Wadi ya Magadi Kaunti ya Kajiado zinatarajiwa kupata jeki kubwa baada ya vituo vinne vya afya kutarajiwa kufunguliwa Jumatano hii.
Advertisement