Back to home

Mashirika kaunti ya Kwale yataka serikali kuweka wazi taarifa kuhusu uchimbaji Mrima

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 2, 2026
1h ago
Baadhi ya mashirika ya haki za binadamu kaunti ya Kwale na wakaazi wameitaka serikali kuu kupitia wizara ya madini kuweka wazi habari muhumu kuhusu maswala ya uchimbaji madini katika msitu wa Mrima huko Lungalunga.
The Online Kenyan Android App

Take Kenya's news with you

Breaking stories, daily briefs, and the topics you follow - on your phone, free.

Get the Kenyan News appFree Android app on Google Play