A cancer patient had put SHA on the spot over his treatment...
Continue Reading on Kenyans
Mchango wa shilingi milioni 1.5 umetolewa kwa shirika la Needy Cancer Health Initiative (NCHI), kufadhili mashindano ya riadha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exci
Kupata huduma za meno bado ni changamoto kwa familia nyingi za kipato cha chini humu nchini, lakini kliniki ya meno iinayozuru mitaa ya viungani mwa mji wa nairobi ikianza kubadilisha hali Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by K
Kongamano la vyama vya ushirika lilifanyika Naivasha huku likihusisha vyuo vikuu kutoka kenya na Tanzania kujadili changamoto zinazokumba vyama hivi barani Afrika. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news
Kama njia mojawapo ya kuhakikisha huduma za afya hospitalini zinaimarika baadhi ya vituo vya afya hapa Nairobi vimeanzisha mchakato wa kushirikisha washikadau wa sekta ya kawi kuhakikisha huduma ya umeme inasambazwa bila hitilafu yeyote. Subscribe and watch NTV Kenya live for la
Ushirikiano kati ya Uingereza na Kenya umeweka masuala ya tabianchi, sayansi, na teknolojia kuwa nguzo kuu ya ajenda yake, na kufungua milango kwa mawazo bunifu na suluhisho za kuimarisha mazingira katika hafla ya kutuza washindi wa EarthShot prize.
Kipindi cha Rogaroga kinachoendeshwa na Fred Obachi Machokaa kinasherehekea utamaduni wa jamii ya waluhya kwa kukuletea burudani moja kwa moja kutoka Bungoma.