Back to home
Limuru: Polisi wakamata washukiwa wawili na kunasa bangi gunia tisa za bangi
video
N
NTV Kenya (Youtube)May 7, 2025
7mo ago
Polisi katika kituo cha polisi cha Mutarakwa eneo bunge la Limuru kaunti ya Kiambu, kwa ushirikiano na kitengo cha maafisa wa kupambana na mihadarati nchini (ANU) wamewakamata washukiwa wawili walioweka bangi kwenye magunia tisa huku kila gunia likiwa na uzani wa kilo tisini.
S
Advertisement
Advertisement




