Kipkelion Mashariki: Wakazi wajengewa barabara ambayo ilikuwa imeharibika kwa muda mrefu
About this video
Wakazi wa Kipkelion Mashariki, hasa waendeshaji wa bodaboda, wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kujengewa barabara hiyo ambayo ilikuwa imeharibika kwa muda mrefu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussio..