Mauaji ya Daniel Nderitu Nakuru
About this video
Familia ya Daniel Nderitu,Jamaa anayedaiwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi eneo la London, Nakuru Magharibi imejitokeza waziwazi kukashifu mauwaji ya kiholela ya Jamaa wao siku tatu zilizopita. Familia inataka haki kutendeka Na maafisa wanaodaiwa Kuhusika kufungwa...