Back to home

DIG Eliud Lagat atakiwa kung’atuka ofisini kutokana na mauaji ya Albert Ojwang

video
June 11, 2025
20 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Naibu inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat ametakiwa kung’atuka ofisini kutokana na mauaji ya Albert Ojwang. Hii ni baada ya kuibuka kwamba yeye ndiye mlalamishi mkuu dhidi ya mwanablogu huyo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the..