Back to homeWatch Original
Watu 6 kukabiliwa na kesi kuhusiana na mauaji ya Albert Ojwang
video
June 23, 2025
8 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Central Samson Talaam na washukiwa wengine watano wameshtakiwa kwa mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang' . Washukiwa hao watajibu mashtaka ya mauaji hapo kesho katika mahakama ya Kibra...