Back to homeWatch Original
Nakuru: Familia ya Daniel Nderitu, aliyeuwawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi, yalilia haki
video
June 11, 2025
about 1 month ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Familia ya Daniel Nderitu raia aliyeuwawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi jijini Nakuru imevunja kimya chake na kusimulia saa zake za mwisho kabla ya kukumbana na mauti yake. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news upd..