Elimu yaing’ara bajeti 2025/26 kwa mgao mkubwa wa asilimia 28.
About this video
Waziri wa fedha John Mbadi leo hii amewasilisha makadirio ya bajeti wa mwaka 2025/2026 Bungeni, akifichua ukuaji wa uchumi wa asilimia 5.3. Katika bajeti ya shillingi trilioni 4.291, sekta ya elimu inatarajiwa kupata mgao mkubwa zaidi kwa shillingi bilioni 702.7 sawa na asilimi..