Greenlands: Shule yawapa wasichana waathiriwa wa SGBV nafasi ya pili
About this video
Elimu yao ilipunguzwa kutokana na mimba zisizotarajiwa katika umri mdogo, ikiashiria unyanyasaji wa kingono na kijinsia (SGBV) katika jamii. Baadhi yao walifukuzwa kutoka kwa familia zao na kukata tamaa maishani wakaachwa bila la kufanya. Shule ya Upili ya Wasichana ya Greenlands..