Chepkokogh bado gizani miaka 12 baada ya mradi wa stima kugonga mwamba
About this video
Kwa miaka na mikaka, eneo Chepkokogh linasalia kuwa kwenye giza kwa sababu ya kukosa stima katika eneo hilo licha ya mradi wa kuanganisha umeme kwenye eneo hilo mwaka wa 2012, mpango huo ulikwama baada ya stima kuwaka kwa wiki moja tu. Subscribe and watch NTV Kenya live for lat..