Back to home

Mgogoro wa usafiri Limuru: Matatu na tuktuk wakabiliana vikali.

video
N
NTV Kenya (Youtube)
June 13, 2025
6mo ago
Shughuli za uchukuzi zimetatizwa katika kituo cha magari ya uchukuzi wa umma Limuru kaunti ya Kiambu, baada ya mgogoro kati ya wahudumu wa magari ya shirika la nakili ambalo hubeba abiria kutoka Limuru kuelekea ndeiya na wahudumu wa tuktuk pande zote mbili zilinyooshea kidole cha
Advertisement