Back to homeWatch Original
Mwili wa kijana Enock Omoi ulipatikana ndani ya mto
video
June 13, 2025
22 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Biwi la simanzi lilitanda katika kijiji cha Nyatieko wakati mwili wa Enock Omoi, kijana aliyepatikana ndani ya mto akiwa ameuwawa kwa kosa la ng'ombe kula mahindi Shambani kule Tranzoia kupelekwa nyumbani. Mwili wa kijana huyo uliletwa saa kumi asubuhi kabla kuachwa nje ya lango ..