Back to homeWatch Original
Kenya Kwanza watua Machakos, watoa ahadi tele kwa wenyeji
video
June 14, 2025
1mo ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wa Kenya Kwanza leo hii wametua eneo la Katangi kaunti ya Machakos katika mpango wa kuwawezesha wakazi wa eneo hilo kibiashara. Wakiongozwa na naibu Rais Kithure Kindiki waliipigia debe serikali ya Rais William Ruto wakitoa ahadi kochokocho kwa ajili ya Wenyeji. Subscr..