Back to home

Viongozi wa upinzani wataka Elid Lagat na Amin Mohamed kujiuzulu kufuatia kifo cha Albert Ojwang'

video
June 15, 2025
17 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Sauti Za Upinzani Wameendelea Kushutumu Mauaji Ya Albert Ojwang Wanasiasa Wa Upinzani Wamtaka Lagat, Amin Kujiuzulu Wakosoa Serikali Kwa Visa Vya Mauaji Na Utekaji Nyara..

Viongozi wa upinzani wataka Elid Lagat na Amin Mohamed kujiuzulu kufuatia kifo cha Albert Ojwang' (Video)