Back to home

Baadhi ya maseneta wamtaka DIG Eliud Kipkoech Lagat kujiuzulu kufuatia kifo cha Albert Ojwang’

video
June 10, 2025
22 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kifo cha mwanablogu Albert Ojwang’ kimezua hisia mseto kote nchini, huku viongozi wa pande zote—serikalini na upinzani—wakilaani vikali tukio hilo Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other ex..