Back to homeWatch Original
Walimu wa Kwale wa KUPPET wataka inspekta mkuu ajiuzulu
video
June 17, 2025
16 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Walimu wa chama cha KUPPET Tawi la Kwale sasa wanashinikiza kujiuzulu kwa inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja na waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kufuatia mauaji ya mwalimu mwenzao Albert Ojwang..