Back to home

Serikali yatoa msaada wa vyakula na malazi kwa waathiriwa

video
June 17, 2025
15 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

familia zaidi ya 1,700 ambazo ziliathirika na mafuriko katika eneo la Tana Delta Kaunti ya Tana River zimepokea msaada wa malazi na chakula kutoka kwa serikali kuu kupitia idara ya maswala maalum...