Back to homeWatch Original
Watu waliobeba silaha waliingia kwa maadamano na kupewa ulinzi mkali na polisi
video
June 17, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Milio ya risasi na vitoa machozi vilisheheni kwa kutwa nzima jijini Nairobi, huku maandamano yaliyopaniwa kuwa ya amani yakivurugwa na makundi ya watu waliobeba silaha. Kilichoonekana wazi ni kuwa watu hawa wameonekana kupewa ulinzi na maafisa wa usalama...