Bradley Wathimba aibuka bingwa wa mashindano ya Chess wa wachezaji Wenyenye umri Chini ya miaka 16
About this video
Bradley Wathimba ndiye aliibuka kidedea kwenye mashindano ya sataranji maarufu chess ya shule za kimataifa kwenye kundi la wachezaji wasiozidi umri wa miaka 16. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and ..