Maafisa wawili wanazuiliwa, kuwasilishwa mahakamani
About this video
Idara ya polisi jana iliagiza kukamatwa kwa afisa wa polisi aliyempiga risasi mchuuzi wa maski katikati mwa jiji la Nairobi. Taarifa kutoka idara ya polisi ikisema kuwa, imeghadhabishwa na tukio hilo la kupigwa risasi kwa raia ambaye hakuwa amejihami. Aidha taarifa hiyo ya punde ..