Back to homeWatch Original
Mpango wa usalama wa kidijitali wa IGAD wazinduliwa
video
June 18, 2025
15 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Katibu Mtendaji wa IGAD, Dkt. Workneh Gebeyehu, leo amezindua mpango wa sekta ya usalama kidijitali wa IGAD unaolenga kukabiliana na vitisho vya usalama vilivyopo na vinavyoendelea kuibuka, jijini Nairobi..