Back to home

Kikao cha usalama chaandaliwa Ndunyu nNeru

video
June 27, 2025
5 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Hali ya taharuki imetanda eneo la Ndunyu Njeru Kaunti ya Nyandarua baada ya mahabusu watatu kuaga dunia kwenye uvamizi wa kituo cha polisi eneo hilo, wananchi wakilalamika kuwa visa vya wizi wa mifugo vimekithiri...

Kikao cha usalama chaandaliwa Ndunyu nNeru (Video)