Kisunzi cha usalama Makueni
About this video
Polisi eneo la Muikaa kaunti ya Makueni wanachunguza tukio ambapo mama na mwanawe walibakwa na watu waliovamia boma lao na kuiba zaidi ya mifugo 40. Japo baadhi ya mifugo walipatikana, familia hii na wana kijiji wanaelezea wasiwasi kuhusiana na kuzidi kwa visa vya utovu wa usalam..