Back to home

Spika asema MCA waliotimuliwa wameihadaa korti

video
June 19, 2025
12 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mzozo wa mamlaka katika Kaunti ya Machakos umechukua sura mpya baada ya Spika wa Bunge la Kaunti hiyo, Anne Kiusya, kufika katika Mahakama Kuu kupinga maagizo yaliyowaruhusu MCAS tisa waliofurushwa kurejea bungeni...