Back to homeWatch Original
Wakazi wa Sitikho huko Webuye walalamikia ubovu wa barabara
video
July 1, 2025
about 5 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waendeshaji wa bodaboda katika Wadi ya Sitikho, eneo Bunge la Webuye Magharibi, wameandamana kulalamikia hali mbaya ya barabara, wakitoa makataa ya siku tatu kwa viongozi wa eneo hilo kushughulikia barabara hiyo..