Rais atetea rekodi ya utendakazi wa serikali yake
About this video
Mkutano wa mawaziri unaendelea leo kwa siku ya pili huku viongozi wa serikali wakipiga darubini ufanisi na changamoto ndani ya serikali. Hapo jana, Rais William Ruto alisema kuwa atahakikisha miradi ya maendeleo aliyoahidi inakamilika kabla ya muhula wake wa kwanza kukamilika...