Back to home

Msichana wa miaka 14 miongoni mwa waathiriwa 6 waliofariki kwa risasi katika maandamano ya Juni 25

video
July 1, 2025
about 17 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Upasuaji wa miili sita ya waathiriwa wa maandamano ya Juni 25 akiwemo msichana wa umri wa miaka 14 kutoka Shauri Moyo, katika Hospitali Kuu ya Kenyatta na makafani ya City, umedhibitisha walifariki kutokana na majeraha ya risasi pamoja na mshtuko wa risasi. Subscribe to NTV Keny..