Back to home

Familia ya mchuuzi Boniface Kariuki yalalamika imetelekezwa

video
June 21, 2025
11 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Familia ya Boniface Mwangi Kariuki, muuzaji barakoa aliyepigwa risasi na polisi jijini Nairobi Jumanne, sasa inadai kutelekezwa na serikali licha ya afya ya mwana wao kudorora. Familia ya Kariuki inasema kufikia sasa hakuna idara ya serikali iliyoulizia hali yao wala kuandikisha..