Kenya kuandaa kombe la dunia la mchezo roliboli
About this video
Kwa mara ya kwanza, Kenya itakuwa mwenyeji wa mchuano wa dunia wa roliboli kwa chipukizi utakaoanza Jumapili hii katika uwanja wa ndani wa Kasarani. Kenya itakayowakilishwa na vijana chini ya miaka 17 imekuwa kambini kwa wiki moja, kikosi hicho kikiahidi kunyakuwa taji hilo. Ma..